Siku moja nikifanya kazi Nairobi cbd kwa kushona nikatumwa materials 3 rolls, nikafungiwa nikaweka kwa mabega kutoka tearoom nakuja otc, on the way naye mtu wa trolly akanifikia akaniambia nimpe kazi nikamshow aah niko poa nitabeba, so tukawalk pamoja, akaniuliza naenda wapi nikamshow naenda otc, naye akaniambia anaenda athusi ndio stage yake na juu tunaenda the same direction niwekelee tu hapo, aai nikafikiria nakama ni mwizi but nikasema atakama ni mwizi hawezi kimbia na trolly so nikaangusha mzigo yangu hapo, tukaingia river road ndio sisi hao tukipiga stori sijui hii serikali ya hasola tukafika hii junction ya Ronald ngara na basi za githurai zinapita, akanishow tupite haraka nikavuka kumbe yeye hakuvukuka alisukuma trolly nikama anavuka then akaireverse na nikaona nikarudi haraka nyuma ya hiyo basi but sikumuona, nikaskia kichwa kiii
Nilipoteza parcel yangu mchana wazi
Written on 30/04/2026
Charles
